News9 Jul 2025

Chuo Kikuu cha Kisii yahidimisha Siku ya Kiswahili Duniani

Chuo Kikuu cha Kisii kwa kushirikiana na Wizara ya Jinsia, Utamaduni, Sanaa na Urithi pamoja na Shirika la UNESCO, kiliandaa kongamano la kitaaluma kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani leo tarehe 7 Julai 2025. Kongam...

Chuo Kikuu cha Kisii yahidimisha Siku ya Kiswahili Duniani
Chuo Kikuu cha Kisii yahidimisha Siku ya Kiswahili Duniani

Chuo Kikuu cha Kisii kwa kushirikiana na Wizara ya Jinsia, Utamaduni, Sanaa na Urithi pamoja na Shirika la UNESCO, kiliandaa kongamano la kitaaluma kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani leo tarehe 7 Julai 2025. Kongamano hilo lilifanyika katika majengo ya chuo kikuu na liliwaleta pamoja wataalamu wa lugha, wanazuoni, wanafunzi, wanahabari na wadau mbalimbali wa Kiswahili kutoka ndani na nje ya nchi. Kongamano hili lilidhihirisha dhamira ya Chuo Kikuu cha Kisii ya kuendeleza lugha ya Kiswahili kama nguzo muhimu ya maarifa, utambulisho na mshikamano wa kimataifa.

Related Content

More from News

View all